Speeches made as a Member in debate. Does not include turns as Speaker, Deputy Speaker, or Temporary Speaker while moderating the sitting.
Senate Hansard — 18 October 2022 Afternoon Sitting
Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Mambo ya usalama na ufugaji yamekuwa yakiandamana. Ni vuzuri ijulikane wazi kuwa kazi kuu ya Serikali ni kulinda maisha na mali ya wananchi. Jambo ambalo limekuwa likitendeka katika Kaunt…
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Point of order!
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Mr. Deputy Speaker, Sir, I just wanted to seek clarification from Sen. Onyonka. I heard him say that he was a Deputy Minister and I was confused. I do not know whether he was a Deputy Minister in this or another country.
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Naibu Spika, waswahili wanasema mghala muue na haki umpe. Katika lugha ya Bunge, naona sio vizuri kuita Mbunge mwenzako “mlafi”. Sioni ikiwa lugha nzuri. Ndiposa nimesema, mghala muue na haki umpe.
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Nataka kuchukua fursa hii kumpongeza Sen. Ali Roba kwa Hoja hii ambayo imeletwa wakati unaofaa. Ni ukweli ya kwamba hili janga la njaa limekumba sehemu nyingi za nchi yetu ya Kenya. Ukitembea …
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Mr. Deputy Speaker, Sir, this House knows very well that I am a good footballer and I play golf. Both those games are played by the Senate teams. When the Senate Majority Leader says there are other things that I go to do in Arusha, can he …
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Mr. Deputy Speaker, Sir, it is true. However, he needs to button up his collar button. I had picked that one. That notwithstanding, I still seek your guidance. This is because when I look on my right, I can see Sen. Karungo wa Thang’wa. He …
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
For Senator for Narok, you are properly dressed.
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Naibu Spika, asante sana kwa kunipa fursa hii. Naungana nawe, pamoja na Seneta wa Nairobi, kuwakaribisha wanafunzi na waalimu wa shule ya Leadership Academy. Sisi tunawatakia mema. Ni vizuri wamekuja kuona mambo ambayo tunayoyafanya hap…
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir.
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Naibu Spika, ninakanganywa. Sielewi anachomaanisha Sen. Faki anaposema upande wa walio wengi wachache. Sisi ni wengi. Sielewi kwa nini anasema wengi wachache. Sielewi anachomaanisha kwa kusema sisi ni wachache na ilahali u kikatiba sisi…
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
On a point of information, Mr. Deputy Speaker, Sir.
Open sitting
Senate Hansard — 11 October 2022 Afternoon Sitting
Kwa Hoja la nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Asante kwa kunipa fursa hii, ijapokuwa kidogo mimi ninachanganyikiwa. Nimesikia mwenzangu, Seneta akisema ya kwamba, yeye pamoja na Sen. Sifuna wako katika kamati moja, sijui ni kamati gani hiyo. Nina…
Open sitting
Senate Hansard — 11 October 2022 Afternoon Sitting
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Did my good friend, Sen. M. Kajwang’, read or listen to the clear Speech of the President? In Paragraph 14, he stated that “I promise to lead an administration dedicated to a just and fair Gover…
Open sitting
Senate Hansard — 11 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Naibu Spika, naunga Hoja hii mkono kwa sababu ya muda. Kila Seneta ambaye yuko hapa anataka kuchangia na kusema mambo machache kuhusu Hotuba ya Rais ambayo ilikua ya kufana. Wakenya wote waliufurahia na hio ndio maana maseneta wote wali…
Open sitting
Senate Hansard — 11 October 2022 Afternoon Sitting
Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hotuba ya Rais. Kwanza, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa fursa ya kuchaguliwa na wananchi. Vile vile, namshukuru Rias wangu, Mhe. William Samoei Ruto, pamoja na naibu wake, …
Open sitting