Speeches made as a Member in debate. Does not include turns as Speaker, Deputy Speaker, or Temporary Speaker while moderating the sitting.
Senate Hansard — 18 October 2022 Afternoon Sitting
Bi. Spika wa Muda, kwanza, nawashukuru sana wale ambao wameleta hii ardhihali, wakiongozwa na Daniel Rakoko, kuhusu maisha ya watu wanaoshi kwenye visiwa kule Homa Bay. Tunaelewa kwamba watu hao hupitia hali ngumu ya usafiri. Watu hawawezi …
Open sitting
Senate Hansard — 18 October 2022 Afternoon Sitting
Bi. Spika wa Muda, kwa kumalizia, ningependa kuhimiza wafanye haraka kwa sababu kuna wagonjwa, wafanyabiashara na watu tofauti tofauti wanaohitaji huduma za feri. Nasisitiza kuwa Serikali inafaa kuchukua hatua mwafaka haraka iwezekanavyo.
Open sitting
Senate Hansard — 18 October 2022 Afternoon Sitting
On a point of Order, Madam, Temporary Speaker. Bi Spika wa Muda, katika Mjadala unaoletwa katika hili Bunge, singependa kukueleza utakavyofanya. Najua kazi unafanya kisawasawa lakini haki na utendaji kazi lazima uende pamoja. Upande huu una…
Open sitting
Senate Hansard — 18 October 2022 Afternoon Sitting
Bi. Spika wa Muda, cha kwanza ni kuwa Bunge letu la Afrika Mashariki linafika mwisho wake ifikapo mwezi wa 12. Kuna umuhimu tuwe tayari kufanya mikakati ya kuona ya kwamba kunao Wakenya wengine tutakaowachagua sisi wenyewe hapa Bungeni ili …
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Asante, Bwana Naibu Spika.
Kwanza ningetaka kuafiki Hoja na kusema kuwa nawaunga mkono Maseneta wanne waliochaguliwa kwenye orodha kwa kuwa iko sawa kabisa.
Ningetaka pia kutaja kuwa kutoka Bunge hili la Seneti lianzishwe 2013, hakuna shida…
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Thank you, Mr, Deputy Speaker, Sir. I second this Motion to approve the names of the Senators to serve in the Procedure and Rules Committee.
The Senators mentioned here; Sen. Sheikh Mohammed Abass, MP, Sen. Joseph Nyutu Ngugi, MP and, Sen. …
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like to second this Motion in the sense that the six persons named herein, who will be sitting in the Powers and Privileges Committee, are capable of handling this docket.
In my humble view, all of them were…
Open sitting
Senate Hansard — 14 October 2022 Afternoon Sitting
Asante Bw. Naibu Spika. Kwa sababu ya kazi ambazo ziko mbele yetu, nitajaribu kufupisha mazungumzo yangu kidogo.
Jambo la kwanza, ningependa kusisitiza ya kwamba katika hizi kamati zote 14 ambazo zimeteuliwa za kudumu, zote ni muhimu.
Hakun…
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Asante Bw. Naibu Spika. Kwanza nataka niunge mkono yote aliyosema ndugu yangu, Sen. Cheruiyot, kuhusu mjadala huu. Mjadala huu ni muhimu kwa sababu unaweza kuweka ratiba ya vile ambavyo tutaweza kufanya mambo yetu, majadiliano ndani ya Bung…
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Asante, Bw. Spika. Nilikuwa mmoja wa wale watu ambao wakati mmoja nafikiria ndugu yangu Sen. Cherarkey, ndiye alisimama na kusema kwamba sijavaa vizuri. Nilikuwa nimevaa kama ndugu yangu, Sen. Onyonka. Spika aliyekuwa wakati huo alisema ya …
Open sitting
National Assembly Hansard — 12 October 2022 Afternoon Sitting
Mr. Deputy Speaker, Sir, I wish to point out that I have been in this House with Sen. M. Kajwang’. I have never seen him grabbing or holding anything that does not belong to him. It is a bit unfair for my brother to say that Sen. M. Kajwang…
Open sitting
Senate Hansard — 6 October 2022 Afternoon Sitting
Asante, Bw. Spika. Nafikiria ni jukumu ndani ya Bunge hili la Seneti, kwamba upande huu wa walio wachache, watakuwa wakiiangalia Serikali inavyotekeleza wajibu wake. Ikiwa Serikali itatekeleza wajibu wake sawasawa, tutawapa kongole. Serikal…
Open sitting
Senate Hansard — 6 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Spika, vilevile tunaona katika hotuba ya Mhe. Raisi---
Open sitting
Senate Hansard — 6 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Spika, asante kwa kunikosoa. Hata hivyo, Mhe. Rais sio mtu wa kawaida bali ni Mhe. Raisi wa Jamuhuri ya Kenya. Bw. Spika, tunajua ya kwamba mahakama ni mahali ambapo kila mtu anaweza kwenda. Pia Bunge la Kitaifa ni mahali ambapo mtu yey…
Open sitting