Sen. James Murango
UDA • Kirinyaga
Sen.
Senator for Kirinyaga County
Total Contributions
2
Sittings Spoken In
1
Years Active
5
Latest Activity
Oct 2022
About
Additional Information
Gender: Male
Status: Active
Parliamentary History & Role Changes
- 2022 – Present: Senator for Kirinyaga County
Results timeline (accessibility information)
Change to Table ViewSpoken contributions (2)
11 OCTSenate Hansard — 11 October 2022 Afternoon Sitting
Asante Bw. Naibu wa Spika kwa kunipa nafasi hii ili nizungumze kidigo kuhusu hotuba ya Rais Katika Bunge la 13. Kwa Kiswahili, kuna wahusika wakuu na wale wa kupachikwa. Nilipoangalia nakala ya hotuba ya Rais, niliona inawiana kabisa na manifesto ya Kenya Kwanza tuliyokuwa nayo. ...
View full contribution in sitting →11 OCTSenate Hansard — 11 October 2022 Afternoon Sitting
Bw. Naibu Wa Spika, ninaomba ulinzi kutoka kwa rafiki yangu, Sen. Faki, ambaye ameanza kuonyesha dalili za kigaidi. (Laughter) Mimi sisomi chochote lakini niko na nakala ya hotuba ya Rais, ambayo ninafuatilia kwa makini. Bw. Naibu wa Spika kuna mambo kadhaa ambayo nilikuwa nimeya...
View full contribution in sitting →